x

ongeree / Blog

tunawapiga bao

tunawapiga bao, tumejiami na mapanchline kibao kikosi cha mzinga ukoo flani mau mau tunawapatia uhondo waende zao

mmmmmmm iibuchi, nduku nyingi kwa system hadi ukini a buse utakuwa una abuse drugs jina tamu kama kuchi waweza kunywa kama uji ikiwa murats sijui labda uwe umevalia bui bui kila siku asubuhi, lazima mjue nani mrui kwa majina ni kirui ye ye