ReverbNation
Profile Image

Wishes Samwel

Wishes Samwel ni kajamaa flani simple simple tu yani kapokapo tu kanapenda mziki na maendeleo yake ndo maana kakaanzisha na page hii. so kama una wimbo wako unaweza utuma katika email yake wishes821@gmail.com, na uhakika katauweka tu katika web yake kama ni mzuri.

Musoma, TZ