x

Gabiro Dahiphop / Blog

Mr.President

How comes ukikuja kuniomba kura unaniambia utanipatia mseto seto but after miezi tatu ofisini sasa mimi nko mpweto pweto...skiza President miaka tano ikiisha nakusihi usikuje ni laghai ju mimi mwanachi nastahili kuheshimiwa

by all means necessary

if you say there is no God up here in Africa then try going abroad and see how God works things in a marvelous way

VICHANI

Mi ndio daktari so nakutibu pia na tembe ukizimia manyoya nikunyoe pia na wembe na ukihisi njaa nikilishe ata sembe

KTOWN

K CITY MY CITY ILA MAHATER WANAPINGA

LYRICAL MURDERER

AM YOUR BEST RAPPER'S BEST RAPPER