View Lyrics: Napata Raha Modal close icon

Viewing lyrics for Napata Raha by JUX.

NAPATA RAHA -JUX
STUDIO-A.M RECORDS
PRODUCER- MANEKE

CHORUS
napata raha ukiwa na mimi
napata raha hata mimi
acha yote unaniamini
sijui baby nikupe nini

VERSE 1:
mi napenda ulivyo
sijaona mi before
kuwa nawe mamy.sioni soo!!
iswear baby gal naku adore
nakuthamini ulivyo
napenda ukiwa na mimi
nanena from my heart mim
nafurahi ukiwa we na mimi
unafanana na msichana ambaye
usiku kucha nataka kuwa naye
isije siku nika achana naye!!!

CHORUS
napata raha ukiwa na mimi ooh! oh!
napata raha hata mimi ooh! oh!
acha yote unaniamini ooh! oh!
sijui baby nikupe nini ooh! oh!

VERSE 2:
mi napata raha
nashiba hata kama na njaa
nikiwa nawe maa
washikaji wananiuliza
kwa nini nakupenda wewe
najibu walichouliza
kwa sababu we ndo yule msichana ambaye
usiku mchana nataka kuwa naye
isije siku nikaachana naye

CHORUS:
napata raha ukiwa na mimi ooh! oh!
napata raha hata mimi ooh! oh!
acha yote unaniamini ooh! oh!
sijui baby nikupe nini ooh! oh!

FOLLOW MY UPDATES:
www.facebook.com/JuxVuitton
www.twitter.com/JuxVuitton

Close