View Lyrics: Nonini ft Frasha & Boneye-Huyo Modal close icon

Viewing lyrics for Nonini ft Frasha & Boneye-Huyo by Nonini (The godfather).

Musyoka ka ka ka ka.....

Huyo.....huyooooo wiii Huyooooo....
Huyo.....huyooooo wiii Huyooooo....
Huyo.....huyooooo wiii Huyooooo....
Huyo.....huyooooo wiii Huyooooo....

Ahhh Madame nikipita wananiita
Najifanya sijanyita wanabaki wakiwika tuu.....HUYO!
Mimi huyo nishapiga corner baada ya corner..
Naona pori haijanona jo siwezi nona,...HUYO!
Ma producer ni wengi lakini kwa benki shilingi sinyingi,...HUYO!
Wana siasa polisi ju ya ma farasi wezi halisi....HUYO!

Asha master hii mambo ya usanii
Nani anashida nani yuko na swaliii??....HUYO!
Kama musyoka alipita kati kati
Hawakumuona uliza raila na kibaki,.....HUYO!
Ana album tatu sokoni,
Uko ya kwanza nakwambia boss tu sorry,.....HUYO!
Ameiba industry akatoroka shika yeye,shike yeye...

Huyo.....huyooooo wiii Huyooooo....
Wanataka kuja kuja kumaaliza
Huyo.....huyooooo wiii Huyooooo....
Alipita kati kati wakumuona
Huyo.....huyooooo wiii Huyooooo....
Wanataka kuja kuja kumaaliza
Huyo.....huyooooo wiii Huyooooo....
Alipita kati kati wakumuona

Close