View Lyrics: Kumtegemea Mokozi Modal close icon

Viewing lyrics for Kumtegemea Mokozi by Beatrice Muniu.

Kumtegemea mokozi, kwangu tamu kabisa
Kukubali neno lake nina raha moyoni

Kumtegemea mokozi, kwangu tamu kabisa
Kukubali neno lake nina raha moyoni

Mini sitapungukiwa nikiishi nay eye,
Rafiki wa karibu, haniachi pekee,
Majaribu yakija afajiri moyo wangu,
NJia yangu iwe ndefu, ye hunipa wokovu uuu…

Yesu,Yesu, namwamini, nimemwona, dhabiti, dhabiti
Yesu,Yesu, yu dhamani, ahadi zake, ni za kweli

Kumtegemea mokozi, kwangu tamu kabisa
Kukubali neno lake nina raha moyoni

Kumtegemea mokozi, kwangu tamu kabisa
Kukubali neno lake nina raha moyoni

Nafurahi kwa sababu nimekutumaini,
Yesu mpendwa na rafiki, uwe nami daima
Umeniweka huru na umenipa amani,
Rafiki wa karibu, waniweka salama, Yesu, Yesu yeeeh!!

Yesu,Yesu, namwamini, nimemwona, dhabiti, dhabiti
Yesu,Yesu, yu dhamani, ahadi zake, ni za kweli

Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana,
Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha

Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana,
Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha osha!

Close